Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea.
Nguruwe huyo alirekodiwa na kamera akifanya mbinu na hatimaye kufanikiwa kutoroka kutoka kwenye Lori kuepuka kuchinjwa ambapo kama ukiangalia video hapa chini utaona alianza kwa kutoa kichwa nje na baadae kuruka mzima mzima.
Mwisho wa siku Nguruwe huyo alijinasua kutoka kwenye mikono ya waliokuwa wamebeba Nguruwe kadhaa kuwapeleka kuuzwa.
0 comments:
Post a Comment