Saturday, June 21, 2014

LUPITA NYONG'O AWA MWANAMKE WA PILI TOKA AFRICA KUTOKELEZEA KATIKA COVER ZA US VOGUE *PICHAZ*

NI malkia wa filamu na red carpet 'zuria jekundu' Lupita Nyong'o ambaye ni superstar mkubwa nchini Kenya na duniani kwa ujumla, amepewa fursa ya kuwa mbele ya kava la jarida moja kubwa sana nchini marekani la VOGUE ambapo team ya BN Style walidhani angepewa nafasi hiyo mwezi wa tisa hivi, lakini VOGUE AMERICA wameamua mwanadada huyo a take over mwezi wa saba.
Katika kava hiyo lupita ameonekana katika kigauni kizuri kilichobuniwa na watu wengi saaana ikiwa ni Rodarte, Proenza Schouler, Givenchy, Jonathan Saunders, Prada, T by Alexander Wang and J. Crew.
Katika kurasa za ndani utamjua vizuri na kuona picha nyingi za lupita nyong'o, cheki baadhi hapa chini:
Nzuri!
Kiafrika zaid eeh!!!
Sijui hii ndio YOGA au, eeeeh!!?
 ila nzuri!
Jaman kitu cha KOBLA hicho Lupita huogopi??? Hahahaa!
Hongera sana Lupita kwa hili na uendelee kuipeperusha bendera ya Afrika.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI