Friday, June 27, 2014

DAAH!!!! INAKUWAJE MTANGAZAJI WA TV ANAFANYA VITU KAMA HIVI AISEE!!!????

 
HII imetokea huko kwa wenzetu, majuu au waweza kukuita kwa Obama wa Kenya, ambapo Bow wow ambaye ni mwanamziki mahiri sana nchini humo na duniani kwa ujumla alikuwa akihojiwa na mwadada anayeendesha Tyra show, anayekwenda kwa jina la Tyra Banks.
Hii haijatokea mara moja bali ni kila mara wawili hawa walipokuwa wakikutana kwaajili ya kufanya kipindi.
Kuna tetesi kuwa wawili hawa walikwisha tokelezea pamoja,,,, hapa namaanisha walisha-date ambapo wamekuwa waki-kiss mbele ya watazamaji wao wanaokwenda kuiangalia show hiyo moja kwa moja.
Cheki mwenyewe hapa!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI