Monday, June 16, 2014

BREAKING NEWS: WASANII WA BONGO MOVIES WAPATA AJALI

Staa wa bongo movie Shamsa Ford 

WASANII Stevie Nyerere, Shamsa Ford (PICHANI) na Single wamepata ajali maeneo ya jirani na Chalinze wakiwa njiani kwenda Dar wakitokea mjini Dodoma katika show kubwa iliyofanyika last weekend...! Taarifa za awali zinaarifu kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari hilo
Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa….!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI