Saturday, June 28, 2014

BASI LA AHIDA'S LAPATA AJALI KIBITI MKOANI PWANI

Basi la Kampuni ya AHIDA"S lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - Tunduru Limepata ajali katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.
Ajali hiyo ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa mtoto aliyekuwa anakatiza barabara.
Mara baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha polisi cha Kibiti. Basililikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduru.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI