Sunday, June 22, 2014

AJABU!!!? HAPA NDIPO WEMA NA JOKETI WALIPO KWA SASA!

KAMA ujuavyo wanadashosti hawa hapo awali walikuwa katika BIFU la kuchukuliana bwana ambae ni Diamond….
Hii ilitokea baada ya Wema kumshutumu Jokate kutembea na mpenzi wake Diamond (Kabla Wema hajapigwa chini na Diamond)….
Katika hali isiyotegemewa wawili hawa kumbe hawana tena kinyongo..na wapo SAWA…..
Hii imejidihilisha wazi hapo jana baaba ya Wema Ku-comment kwenye picha ya Jokate huko INSTAGRAM...Soma comment hiyo hapo juu..then utajuani nini hasa namaanisha…!!!
Haya nido maisha ya masupastaa wetu!
Sisi macho yetu,,, aaah sory Sisi yetu machoo!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI