Friday, June 27, 2014

AISEEE!!! UJIO MPYA WA DAYNA NYANGE HUU HAPA!!!

Screen Shot 2014-06-27 at 8.54.14 AM
Mara yake ya mwisho kusikika na single mpya redioni ilikua tarehe 14 December 2012 na ilikua ni ‘mimi na wewe’ kwenye video na Audio ambapo sasa mrembo huyu amerudi tena kwenye spika zako.

Single hii ameitoa siku kadhaa tu baada ya kusambaa kwa picha zake za utata akiwa na Nando mwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la BBA.
Screen Shot 2014-06-27 at 9.12.59 AM

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI