Sunday, May 25, 2014

MAVUNO MAKUBWA YA MAHINDI SHAMBANI KWA MHE. PINDA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shmabani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mai 24, 2014. 
Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya katavi. 
Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI