Saturday, April 26, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA


Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho 
ya miaka 50 ya MUUNGANO  yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya ulaya.
(picha na fullshangwe-uwanja wa uhuru) 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI