Tuesday, April 15, 2014

PICHA 4 ZA BOMU LILILOLIPUKA ARUSHA

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka juzi.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.
Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.
Picha: Tanzania News

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI