Thursday, March 20, 2014

NDUGU WA DADA HUYU AU WANAUSALAMA WAOMBWA KUMTOA KATIKATI BARABARANI: HATARI

Dada huyu ambaye amejulikana kwa jina moja tu la Neva, inahofiwa ana matatizo ya akili, hivyo ombi kwa ndugu na jamaa wa dada huyu limetolewa na baadhi ya wakazi wa mbeya kumuondoa dada huyu maeneo haya hatarishi, kwani amekuwa akitembea katikati ya barabara bila uoga wowote huku akipiga magari mateke.
Hili limeonekana toka eneo la soweto mpaka mafiati.



Akiwa katikati ya barabara maeneo ya Soweto.

Akiwa maeneo ya kabwe

Na Mbeya yetu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI