Thursday, March 20, 2014

MHE. RAIS KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN LEO IKULU DAR ES SALAAM


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess, Victoria Lugrid Alice Desiree, alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana mchana.

Princess Victoria, ambaye ameambatana na Waziri wa Biashara wa Sweden. Bi Ewa Björling, yuko nchini kwa ziara ya siku tatu.


 Picha ya pamoja.....
wakitoka kwenye mazungumzo yao.....

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI