Tuesday, March 25, 2014

MHE BALOZI MULAMULA ALIPOTEMBELEA GEEKS PLUS NORTH CAROLINA

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akipata maelezo kutoka kwa mwenyeji wake Ndugu David Mushi, Mtanzania anayemiliki kampuni ya GEEKS PLUS iliyopo Burlington, North Carolina.
Mhe. Liberata Mulamula katika picha na mwenyeji wake Davi Mushi (kushoto) kati ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina (UTNC) Ndugu Geoffrey Lepana
Mhe, balozi alipotembelea GEEKS PLUS kampuni ya mtanzania nd, David Mushi yenye makazi yake Burlington Northa Carolina.
kampuni inajihusisha na masuala ya uuzaji wa computer pamoja na vifaa vyake vivyo hivyo utengenezaji wa computer na masuala yote ya Information Technology kwa ujumla
Mmoja wa mafundi akiwa kazini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI