Tuesday, March 25, 2014

MHE BALOZI MULAMULA ALIPOTEMBELEA MOUNT EAGLE COLLEGE ILIYOPO WINSTON SALEM

Mhe, Balozi Liberata Mulamula akipokelewa na mwenyeji wake Dr,Lucas Shallua ambaye ni Mtanzania na mmiliki wa chuo cha Mount Eagle. kilichopo Winston Salem, North Carolina
Mhe,Balozi Liberata Mulamula alipotembelea darasa mojawapo la wanafunzi wanaojifunza uuguzi (Nursing)
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa moja ya darasaa akiwa na mwenyeji wake Dr,Lucas Shallua
Mhe,Liberata Mulamula akisalimiana na mmojawapo wa wanafunzi wa chuo hicho katika zaiara yake aliyofanya North Carolina siku ya Jumamosi March 22, 2014
Mhe, Balozi akiwa na wenyeji wake Dr,Lucas Shallua na mkewe Bi Dorothy Edward ambae pia ni mfanyakazi wa mount eagle college.
Mhe. Balozi Libarata Mulamula katika picha ya pamoja na wenyeji wake

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI