Saturday, March 29, 2014

JAMBO PLASTICS YAIBUKA KIDEDEA TUZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA MWAKA 2013

D92A0816Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe la ushindi mwakilishi wa kampuni ya Jambo plastics Bi.Rupa Suchak baada ya kampuni yake kuibuka mshindi katika shindano la kuwania tuzo ya Rais ya Mzalishaji bora wa mwaka 2013 katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana usiku
(Picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI