Friday, March 28, 2014

CHADEMA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHALINZE


Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndugu Mathayo Mang'unda Torongey akiendelea na mikutano ya Kampeni Jimboni Chalinze.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI