Watanzania wametakiwa kujiandaa kukabiliana na mabadiliko ya tecknolojia kuachana na analojia na kuhamia kwenye digitali yanayotarajiwa kuanza tarehe 31 ya mwenzi wa kumi na mbili mwaka huu.
Hayo yamesemwa na waziri wa sayansi na tecknolojia Prof. Makame Mbarau alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kutaka kujua hatua za mwisho za kuachana na analojia na kuhamia katika mfumo digitali.
Na Robert latonga
Ikiwa Tanzania ipo sambamba katika mabadiliko ya Sayansi na tecknolojia kama nchi nyingine zilizoendelea duniani ni takribani mwezi mmoja na nusu umebaki Tanzania kuachana na mfumo wa zamani wa analojia na kuhamia mfumo mpya wa digitali lakini swali la kujiuliza ni kwamba je watanzania wako tayari kukabiliana na mabadiliko hayo.
Mheshimiwa Mbarawa anasisitiza kuwa ni vyema wananchi wakajiandaa kukabiliana na mfumo huu hasa katika muda huu mchache uliobaki katika kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na tecknolojia kwa kuanza kutumia digital
Makubaliano ya nchi zote duniani ni kuhakikisha ifikapo mwaka elfu mbili na kumi na tano ziwe katika mfumo mmoja wa digitali na kuachana na mfumo wa zamani wa analojia, na kwa Tanzania mabadiliko hayo yanatakiwa kuanza rasmi tarehe 31/12/2012
Thursday, November 15, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
MWAKILISHI wa mtandao wa Alibaba ndiye tajiri mkubwa zaidi nchini Uchina kulingana na rekodi za kampuni yake. Hili imethibitishwa n...
-
Hanging With The Bro! Diamond Platnumz & Kanye West Take A Selfie In L.A. Tanzanian music sensation Chibu Dangote also known has Diam...
0 comments:
Post a Comment