![]() |
| Baadhi ya mashabiki wa muziki wa taarabu wakiwawameubeba mwili wa marehemu Mariam Khamis tayari kwa mazishi. |
![]() |
| Ndugu, Wadau wa muziki na Marafiki wakiwawameubeba mwili wa marehemu Mariam Khamis (anayeonekana kwenye picha ndogo kulia) |
![]() |
| Baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Mariam wakiwa nyumbani kwake wakiomboleza kabla ya mazishi. |
![]() |
| Mwimbaji wa Muziki wa taarabu mkongwe Khadija Kopa akiwa na wenzie, wakiomboleza kifo cha mwanamuziki mwenzao Mariam Khamis ambaye alikutwa na umauti baada ya kujifungua. |










0 comments:
Post a Comment