MWIGIZAJI na mcheza mieleka wa muda mrefu Dwayne “The Rock” Johnson ambaye kwa sasa ametajwa kuwa Mwanaume mwenye mvuto zaidi na jarida la PEOPLE naye ana nia ya kuwa Gavana na baadae kuwa rais wa Marekani.
Kama Donald Trump ameza kushinda basi mtu yoyote maarufu anaweza kujaribu.
The Rock alisema “Kila nikiulizwa hilo swali nilifanya kama utani na kujibu ila sasa naliwaza zaidi jambo hili, ila najiuliza je nitaleta tofauti kwenye, nitazungukwa na watu watakao niunga mkono, je najali hii inchi, ”.
Je The Rock anapendezea kuwa RAIS.
0 comments:
Post a Comment