Thursday, November 17, 2016

COMMON - 'KUACHA KULA NYAMA KUMENISAIDIA KUWA RAPA BORA ZAIDI'

RAPA Common amesema kuacha kula nyama kwenye mlo wake wa kila siku kumemfanya awe rapa bora zaidi.
Common anasema alilelewa mjini Chicago ambapo alikuwa sana vitu vya nyama mpaka alipokuwa na kuamua kuacha kabisa.
Common anasema “Nilisikia maneno makali kutoka kwa watu wakubwa kama KRS-One kwa usile nyama na sababu ni mtu mkubwa kwangu ilikuwa bonge moja la somo, nilipoacha nyama nikaanza kujisikia kama ni wazi na naona mambo tofauti, unaweza usiamini ila ndio kweli hivyo
Common
Common ameacha nyama flani ila anakula samaki na vyakula vya baharini na tayari ameanza kuwashawishi watoto wake pia waacha nyama.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI