Wednesday, November 16, 2016

LOWASSA AELEZA KWANINI HAKUONEKANA KWENYE MSIBA WA SITTA NA MUNGAI

Na Emmy Mwaipopo
WAZIRI MKUU wa zamani, Edward Lowassa, ametoa ufafanuzi wa kutoonekana katika misiba miwili mikubwa ya kiserikali iliyotokea hivi karibuni nchini Tanzania kwa aliyekuwa spika wa Bunge wa zamani Mh. Samweli Sitta na Joseph Mungai.
Akizungumza na gazeti la mwananchi juu ya gumzo lililokuwa likiendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwenye misiba hiyo miwili.
Lowassa alisema kuwa hakuweza kuhudhuria misiba hiyo alikuwa safarini Afrika Kusini alikokwenda kumuangalia mdogo wake Bahati Lowassa aliyekuwa mgonjwa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI