Friday, November 11, 2016

KEYSHIA COLE ATANGAZA UJIO WA ALBUM MPYA.

STAA Keyshia Cole ametangaza ujio wa album mpya chini ya Epic Records. Staa mkubwa wa muziki DJ Khaled atakuwepo kwenye album hii mpya iliyopewa jina Reset.
Reset  ni album ya kwanza ya Keyshia toka mwaka 2014 alipotoa Point of No Return na cd ya kwanza chini ya lebo ya Epic Records. Awali staa huyu alikuwa chini ya Interscope.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI