Friday, November 11, 2016

BLAC CHYNA NA ROB KARDASHIAN WAPATA MTOTO WA KIKE *PICHAZ*

Ex wa Tyga Blac Chyna na mchumba wake Rob Kardashian wamepata mtoto wa kike.

Mtoto huyu ambaye amekuwa kwenye vichwa vya habari kabla hajazaliwa amepewa jina Dream Renée Kardashian, amezaliwa kwa njia ya upasuaji saa 9:18 a.m. November 10.
Rafiki wa Chyna na Rob Amber Rose alikuwa hospitalini na kuwapa hongera kwa kuandika “Congratulations to my sister @blacchyna and brother @robkardashian on their lil bundle of joy,” DreamKardashian #ProudAuntie.
Huyu ni mtoto wa kwanza wa Rob na wapili wa Chyna, mama huyu ana mtoto mmoja na rapa Tyga mwenye miaka 4 ‘King Cairo‘.




0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI