MASTAA wa Marekani wanaendelea kumshawishi Kanye West asiitupilie mbali azma yake ya kuwania Urais wa nchi hiyo mwaka 2020. Pressure hiyo imekuja baada ya Donald Trump kumshinda Hillary Clinton kwenye uchaguzi wa juzi na kuwa rais mteule.
Kanye West alitangaza kuwa atagombea Urais mwaka 2020 alipozungumza kwenye MTV Video Music Awards August mwaka jana. Tangu hapo, Barack Obama, Donald Trump na Hillary Clinton wote wamewahi kutoa ushauri kwa Yeezy kuhusu azma hiyo.
Akiongea na TMZ September mwaka huu, Jamie Foxx alisema historia ya kisiasa ya Trump, inaweza kumsaidia Kanye kuwa na nafasi nzuri ya kuwania Urais katika awamu ijayo.
Wengi wanaamini kuwa kama Trump ameshinda, basi hata Kanye anaweza kuwa na nafasi hiyo akigombea Urais.
Hawa ni mastaa waliompa moyo Kanye West kufufua ndoto yake baada ya Trump kupata ushindi ambao haukutegemewa.
Questlove Gomez: ok….@KanyeWest…..lessgo!!!!!
FLYLO: U already know Kanye gonna be the next prez. U gonna see all types of voters u never knew existed. All broke af but wearing supreme.
Sonny Digital: Clearly anything is possible.Kanye West Could be president.
S C O T Y: It’s on u @kanyewest #2020
KardinalO: Also America…@kanyewest for president may not be as crazy as you think. Y’all ain’t think Trump was gonna win…(sips ginger tea)
Asher Roth: ay @kanyewest lemme be VP
THE CHAINSMOKERS: @kanyewest see you in 2020
I’m so excited for @KanyeWest to kick @realDonaldTrump out of the White House and be president of the United States!! ANYTHING is possible!
0 comments:
Post a Comment