Mchezaji wa klabu ya Manchester united, Michael Carrick ambae hadi saivi ameshacheza zaidi ya mechi 300 amesema inabidi awe mkweli kuhusu future yake ndani ya United.
Carrick saivi anamiaka 35 anaona muda wake wa kuendelea kubaki Old Trafford umefika mwisho pia kutoka na kuja kwa Paul Pogba. Carrick wakatai anaongea na Sky Sport alisema,
“Hii ni club kubwa na ninafuraha sana kucheza hapa kwa muda mrefu. Sasa hivi nina miaka 35 na inabidi niwe mkweli juu yangu hapa kwenye club japokua sitaweza kutabiri nini kitatokea msimu ujao.”
Hadi saivi kocha Mourinho chaguo lake kubwa amekuwa mchezaji Paul Pogba ambae amesajiliwa kwa gharama kubwa zaidi.
0 comments:
Post a Comment