Alikiba amewaomba watanzania kumpigia kura Diamond anayewania tuzo ya BET zitakazofanyika, Juni 26 Los Angeles, Marekani.
Wiki iliyopita Diamond alitangazwa kuwania tuzo ya BET kwa mara ya pili kwenye kipengele cha Best International Act: Africa akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki huku tuzo hiyo ikiwaniwa na wasanii wengine kama Wizkid, Yemi Alade, AKA, Cassper Nyovest, Black Koffie, MZVEE na Serge Beynaud.
Akiongea kwenye kipindi...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Tuesday, May 24, 2016
BABY J AKANUSHA KUWA MJAMZITO
10:00 AM
No comments
Mwanadada anayefanya muziki wa Bongo Fleva akiwakilisha visiwa vya Zanzibar Baby J amekanusha tetesi zilizoenea kuwa ni mjamzito.
Baby J ambaye muda mwingi yupo maskani yake Zanzibar ameimbia Bongo5 kuwa ukimya wake ndiyo umesababisha watu kuhusi kuwa ni mjamzito
“Unajua kweli nimekuwa kimya lakini ni mipango naweka sawa na pia nilikuwa na mambo yangu ya kifamilia zaidi,” amesema. “Ila nashangaa watu kusema kuwa mimi ni mjamzito ni kitu ambacho...
HAWA NDIO WATANGAZAJI WAKALI TANZANIA WANAOFANYA RAP
9:58 AM
No comments
NA JOHN SIMWANZA
Watangazaji wa redio hasa vipindi vya burudani wamekua karibu sana na muziki hasa wa Hip hop /Rap na wengine kufikia hatua ya kutozizuia hisia zao ba kuamua kuingia studio na kufanya ngoma. Hata hivyo wamekuwa wanakosa sana support katika vituo vingine vya redio kucheza kazi zao. Ni wachache sana unaweza kuwasikia tofauti na vituo wanavyofanyia kazi. Hii inadhihirisha kuwa muziki wetu hapa bongo bado hauna umoja kutokana na matabaka...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
MWANAMKE mmoja mke wa mtu huko arusha Amemkata Nywele Mwanamke Mwenzake Ambae ni mke wa mtu kwa kutumia Kisu Baada ya kuhisi anatembea ...
-
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
-
Kocha mpya wa klabu ya Yanga Marcio Maximo. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ...