Sunday, November 15, 2015

MREMBO ALIYEAMBUKIZA HIV WANAUME ZAIDI YA 340 KENYA SASA AIBUKIA NA KIBABU CHA KIZUNGU WAONE HAPA TENA LIVE!!

Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenye majina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.

 
Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii  baada ya babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kumsaidia msichana mwenye HIV.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI