Monday, September 7, 2015

SUMAYE: NIMENUNUA SHAMBA KWA KIINUA MGONGO CHANGU, MIMI SIO FISADI

"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.
Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI