Thursday, September 3, 2015

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR, ZEC

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad arejesha Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC, akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha afisi za Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya bwawani Zanzibar.
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar  ambae pia ni Mgombea wa Urais Kupitia Chama cha Wananchi-CUF Mh. Maalim Seif Sharif Hamad akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mh. Jecha Salim Jecha baada ya kumaliza hatua za ujazaji wa Fomu hizo. Makabidhiano hayo yamefanyika Hoteli ya Bwawani tarehe  03.09.2015.







0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI