Friday, August 21, 2015

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE IKULU LEO

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  
   Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala (wa tatu kushoto) pamoja na familia yake mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Agosti 21, 2015.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI