Mgombea wa Urais wa Ukawa Edward Lowassa akisalimiana na Wakazi wa Mbeya

Mgombea Urais wa Ukawa Edward Lowasa akizungumza na wakazi wa Jiji la Mbeya


Mh. Mbowe akiingia katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mh. Lowassa akiwa anawasili uwanja wa Ruanda Nzovwe


Kioja Hiki ... Hii ni Boda Boda iliyotengenezwa kwa mfano wa Chopa imetoka Kyela kuja kumshuhudia Lowassa

Mh. Lowassa akiwa anatoka kidogo lakini Baadae alirejea tena





Wakazi wa Mbeya Katika mkutano huo
#Mbeya yetu







0 comments:
Post a Comment