Kalapina wa kikosi cha mizinga achukua fomu kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ACT Wazalendo!
|
Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki. |
Akiwa ameambatana na wapambe wake waliokuwa wamepanda bodaboda
|
Akisalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio. |
|
Kalapina aka nabii akihesabu pesa za kulipia fomu ya udiwani kabla hajaingia katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi kata ya Kinondoni. |
|
Washabiki wa Karama Masoud wakiamsha amsha nje ya ofisi za mtendaji. |
|
Karama akipokea fomu za kugombea udiwani toka kwa Bibi Ikunda Lyimo, anayetazama kulia ni katibu kata tawi la Kinondoni wa ACT Bw Johnson Kapi. |
|
Wakisikiliza kwa makini msimamimizi wa uchaguzi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu za udiwani. |
|
Mwandishi wa gazeti la DIRA Bi Rachel Gabagambi akimuhoji Kalapina aka Nabii baada ya kuchukua fomu. |
|
Shangwe barabarani baada ya kuchukua fomu. |
#Picha na habari na Mkala Fundikira wa Keronyingi blog
0 comments:
Post a Comment