Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa
akisaini fomu za hati ya kiapo kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya
Tanzania, Jijini Dar es salaam Agosti 19, 2015.
Hati ambayo kila
mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakama kuu jijini
Dar es Salaam Kushoto ni Mgombea Mwenza, Juma Haji Duni.
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni
akisaini fomu za hati ya Kiapo kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya
Tanzania, Jijini Dar es salaam Agosti 19, 2015. Kushoto kwake ni
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
hicho, Mh. Edward Lowassa.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokea
fomu za hati ya Kiapo kutoka kwa Jaji wa Mahakama ya Tanzania, Jaji
Suleiman Said Komu.
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni
akipokea fomu za hati ya Kiapo kutoka kwa Jaji wa Mahakama ya Tanzania,
Jaji Suleiman Said Komu.
Kulia ni Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama hicho, Mh. Edward Lowassa.
0 comments:
Post a Comment