WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akichukua fomu za kuwania
ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa
Wilaya ya Singida, Faridda Mwasumilwe katika Ofisi za Halmashauri ya
wilaya hiyo, juzi.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ambaye pia ni mgombea ubunge
wa Jimbo la Singida Kaskazini, akipokewa kwa shangwe na wananchi wa Kata
ya Kinyagigi katika Jimbo la Singida Kaskazini wakati alipokwenda
kuzungumza nao, muda mfupi baada ya kukabidhiwa fomu na Msimamizi wa
Uchaguzi Wilaya ya Singida
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ambaye pia ni mgombea ubunge
wa Jimbo la Singida Kaskazini, akicheza na makada wenzake wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) katika Kijiji cha Kinyagigi muda mfupi baada ya kuchukua
fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Singida.
WANANCHI
wa Kijiji cha Kinyagigi katika Jimbo la Singida Kaskazini,
wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara muda mfupi baada ya kuchukua
fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Singida.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati), ambaye pia ni
mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, akiwa na viongozi wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuchukua
fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ambaye pia ni mgombea ubunge
wa Jimbo la Singida Kaskazini, akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika Kijiji cha Kinyagigi, jimboni humo juzi.
#CCM Blog
#CCM Blog
0 comments:
Post a Comment