Friday, August 14, 2015

MBUNGE VITI MAALUM MTARAJIWA MHE. IRENE UWOYA KUIWAKILISHA TABORA

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba
1. Halima Bulembo 
2. Zainab Katimba 
3. Mariam Ditopile 
4. Mary Kangoye 
5. Kizigo 
6. Irene Uwoya.
Hongera sana Uwoya.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI