Thursday, August 27, 2015

CHRISTIAN BELLA ATAMBA NA MKOKO MPYA *PICHAZ*

Akizungumza kwa furaha, hitmaker huyo wa Nani Kama Mama amesema bado anatamani kuwa na magari mengi zaidi na ya thamani.
“Mimi napenda sana kuwa na magari mengi ndio maana nikipata pesa na gari nikilitamani nalinunua tu,” amesema.
“Tatizo ni pesa, leo gari yangu mpya imeingia Toyota Harrier. Hii gari niliagizia ndio imeingia, nimenunua shilingi milioni 35.”

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI