Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo Tarehe 25-08-2015 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Waziri Bernard Membe akizungumza na Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), wakati alipokua akiwasilisha nakala ya hati zake za utambulisho leo Tarehe 25-08-2015
Mazungumzo yakiendelea huku Msaidizi wa Waziri Bw. Thobias Makoba (kulia) akisikiliza na kufuatilia mazungumzo hayo na Afisa wa Mambo ya Nje Bi. Olivia Maboko (kushoto) naye akifuatilia mazungumzo hayo.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), akiagana na Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo Tarehe 25-08-2015 ofisini kwake jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
#REUBEN MCHOME.
0 comments:
Post a Comment