Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (mwenye
kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya
Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula juzi, katika
kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep
Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba
tani 32 za taka ambalo mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi
karibuni.
Saturday, June 27, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Me...
-
Hanging With The Bro! Diamond Platnumz & Kanye West Take A Selfie In L.A. Tanzanian music sensation Chibu Dangote also known has Diam...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
MWAKILISHI wa mtandao wa Alibaba ndiye tajiri mkubwa zaidi nchini Uchina kulingana na rekodi za kampuni yake. Hili imethibitishwa n...
-
Katika pitapita zangu huko instagram nkakutana na picha hii ya msanii wa kizazi kipya Shishi Baby au mamaa ya Mziwanda. Haaa...
0 comments:
Post a Comment