Hiphop ya bongo 2015 imepata headlines nyingine tena na sasa ni zamu ya Fid Q rapper alieweka wazi kwamba video yake mpya ya bongo hiphop iliyofanywa na Nisher hata yeye alikua na kiu ya kuiona kama ilivyo kwa mashabiki wake, itazame hapa chini alafu usiache kutuandikia comment ili Fid akipita hapa usiku asome watu wake walichomuandikia.
Monday, March 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Johnny Strange kutoka Uingereza, umri wake ni miaka 26, jina lake linaandikwa kwa wino mzito kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa Duniani,...







0 comments:
Post a Comment