Saturday, January 3, 2015

PICHA ZA KAJALA ZINAZODAIWA KUTOKUA NA MAADILI: MWENYEWE AFUNGUKA HIVI! *PICHAZ*

MUIGIZAJI wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshambulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwa sababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake!

Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa ufukweni nasio yupo mitaani anaembea.
 
“Niko beach jamani siko posta natembea maana mna maneno ya chini chini humu” Kajala alisistiza.

Picha hizi alizitupia juzi, siku ya sikukuu ya mwaka mpya. Jionee picha hizo hapo juu kisha tuambie maoni yako!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI