Saturday, January 3, 2015

JUX ARUSHA KIJEMBE KIZITO KWA DIAMOND PLATNUMZ NA 'ZARI THE BOSS LADY' *PICHA*

MAPENZI kati ya Msanii Jux na Vanessa Mdee yanazidi kuchukua headline mpya kwenye mitandao ya kijamii kila iitwapo leo,
Jux kupitia akaunti yake ya twitter amerusha dongo kwa Diamond Platnumz baada ya mapenzi kati ya Diamond Platnumz na Zari The Boss lady kuwa ni project, na kupitia twitter ameandika hivi 
"Nah project or series! We just the realest!"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI