Sunday, January 4, 2015

JENGO LATEKETEA KWA MOTO KARIAKOO!! *PICHAZ*

Jengo la Ghorofa 8 likiwa linateketea katika ghorofa ya 4,Jengo hilo linamilikiwa na mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,vitu mbalimbali zikiwemo Frem za Picha ,maua, vimeteketea kwa moto. ambapo mmiliki wa ofisi hiyo yuko nje kwa safari.
Picha na maelezo: Victor Simo
Hapo wananchi wakikimbizana baada ya nguzo ya umeme kutowa mlipuko katika Barabara ya Huru na Kongo Dar es Salaam kama ilivyonaswa na mwandishi wa Jambo Leo alipokuwa akienda katika Jengo la Ghorofa 8 lililopo jirani na Msikiti wa Kiblateni .

Hapo wananchi wakikimbizana na kuondowa bidhaa zao baada ya nguzo ya umeme
kutoa mlipuko katika Barabara ya Uhuru na Kongo Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI