Monday, December 22, 2014

JULIUS MTATIRO AFUNGUKA 'HUYU BINTI KALEWA PESA ZA ESCROW!!!'

HII ni baada ya pita pita zangu katika mitandao ya kijamii na kuingia katika ukurasa wa Facebook wa Julius Mtatiro na kukutana na post hii:
HUYU BINTI KALEWA PESA ZA ESCROW!!!
Huyu mtoto wa waziri Tibaijuka anatukana watu matusi ya nguoni.
Hii ni baada ya kuleweshwa na mabilioni ya ESCROW, hawa watanzania anaowatukana ndio waliokamuliwa kodi mama yake akasoma hadi kuwa profesa.
Hawa watanzania anaowatukana ndiyo wameibiwa fedha hadi binti huyu na ndugu zake wanaendelea kuishi maisha ya dharau huko ughaibuni.

Ole wako binti, wewe na watoto wa vigogo wenye tabia hii ya kipuuzi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI