Monday, December 15, 2014

HIZI NDIZO PICHA NA LIST ZA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOFARIKI WAKIWA BADO NA UMRI MDOGO SANA!!

RECHO: Hapa ndipo yalipoanza kuandaliwa na kuzikwa kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS
KUAMBIANA: Hapa ndipo yalipo makazi ya milele ya Adam Kuambiana.
KUAMBIANA: KUZALIWA:  1976 - KUFARIKI: 2014  UMRI: 38Yrs
JOHN MAGANGA: Haya ni makazi ya John Maganga akiwa anatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa.
JOHN: KUZALIWA: 1988 KUFARIKI: 2012 UMRI: 24Yrs
MALISA: Haya ni makazi ya milele ya msanii mwingine Malisa ambaye ameshatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atutoke.
ZUHURA: KUZALIWA: 1974 KUFARIKI: 2013 UMRI: 39Yrs
KANUMBA: Haya ni makazi ya milele ya Kanumba ambaye sasa ana mika kadhaa.
KUZALIWA: 1984 KUFARIKI: 2012 UMRI: 28yrs
Hakika vijana wengi hivi sasa wanaondoka duniani mapema mno, wakiwa na umri chini ya miaka 30 na 40.
Na hao ni baadhi tu ya wasanii huku wengine kama  kina Sharo Millionea, George Tyson na wengine lukuki waliotangulia mbele ya Haki.
Kama yanavyojionesha makaburi yao, ambao wate wamelazwa sehemu moja ya Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
HAKIKA MBELE YAO, NYUMA YETU.
MUNGU AZILAZE ROHO ZAO PEPONI - AMEEN!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI