Monday, December 15, 2014

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

Jolly Tumuhirwe (22) wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Jolly Tumuhirwe (22)
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI