Wednesday, November 5, 2014

WINGA WA TOTTENHAM AZUA GUMZO KWA KUPIGA PICHA HII…!

WINGA wa Tottenham, Nacer Chadli amepiga picha kwenye jarida maarufu la Cosmopolitan ambalo limezua gumzo kubwa.
Picha hiyo akiwa mtupu lakini amejiziba na taulo, imeelezwa kuchangiwa comment na wasichana wengi ndani ya muda mfupi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Lengo la picha lilikuwa ni kuwakumbusha watu kuhusiana na ugonjwa hatari wa kansa nchini Uingereza.
Chadli ni raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria na pia mchezaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI