Friday, November 14, 2014

TEASER YA MUSIC MPYA WA DIAMOND YAVUNJA REKODI. SIKILIZA HAPA *AUDIO/VIDEO*

Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo nyimbo itakuwa bora kabisa endapo itatotelewa mwaka huu au ujao...hebu iangalie halafu utoe maneno yako bila unafki wala ushabiki...mi naanza kusema hili litakuwa BONGE LA HIT ....

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI