Thursday, November 20, 2014

MMMH HEBU ANGALIA HIKI KIVAZI CHA MWANDISHI KATIKA ZIARA YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR NCHINI CHINA! *PICHAZ*

Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya Habari wa Jimbo la Hainan wakipata ufafanuzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tato wa Ushirikiano kati ya China na Afrika kutokakwa Mgeni rasmi wa ufunguzi wa Mkutano huo Makamu wa Pili wa Rais wa ZanzibarBalozi Seif Ali Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei Bay Mjini Haikou Jimboni Hainan.

Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa ushirikiano kati ya China na Afrika, waliopo mbele wane kuanzia  kulia ni Meya wa Manispaa ya Zanzibar Mstahiki Khatib Abdulrahman Khatib, Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Mh.e Ussi Jecha Simai, Waziri wa Ardhi Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban,Waziri wa Habari Mh. Said Ali Mbarouk na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI