Thursday, November 20, 2014

MEYA JERRY SILAA AFUNGUKA - "NILIMPA MOTISHA MWANAFUNZI BORA WA UDSM.. MWAKA 2011 NA SASA KAWA BORA ZAIDI…"

Doreen Kabuche akiwa na Meya wa manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Sila jijini Dar es Salaam Leo alipoenda kupongezwa kwa kuwa mwanafunzi bora aliyehitimu Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka huu.
Namnukuu Jerry Silaa......''
........''Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student . Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000
Mwaka huu amekuwa best student udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu Ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension
Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam....''
Masama Blog tunasema Asante sana Jerry Silaa kwa kuwapa motisha vijana wa kitanzania ambao ndio nguzo ya Taifa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI