Mashabiki wa msanii huyo wakifuatilia moja ya burudani zilizokuwepo.
Bendi ya Isha Mashauzi ikitoa burudani.
Mh.Temba akikata keki iliyoandaliwa katika bethidei yake.
Yamoto bendi ikitoa burudani.
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Amani James Temba a.k.a. Mheshimiwa Temba, jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa (bethidei) kwa chereko kibao katika ukumbi wa Equator Grill maeneo ya Kwa Azizi Ali, Mtoni-Mtongani jijini Dar, es Salaam, ambapo mashabiki wengi walihudhuria kumpa ‘tafu’ na hongera.
Na (Denis Mtima, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani) Chanzo: GP
0 comments:
Post a Comment